EVERLASTING LOVE. (Penzi la milele) - 2
Na mtunzi wako; ELIAS ADOLF (eliado)
ILIPOISHIA
Vilitokea vitu vingi vya ajabu katika
mazishi ya mzee huyo lakini watu hawakushangaa sana kwani kwa watu maarufu kama
hao, moja ya maajabu hayo ni pamoja na kutotosha kwa jeneza kwenye kaburi
lililochimbwa pia ilinyesha mvua kubwa iliyoambatana na radi kali sana
iliyopelekea watu saba kupoteza maisha yao na kwa maoni ya wenyeji walidai kuwa
eti waliokufa walimsindikiza mfalme huyo. Hivyo baada ya siku arobaini shughuli
zote zilimalizika na ikawa mwisho wa mzee huyo maarufu, waswahili wanasemaga
itabaki stori tu.
RACHAEL ANAANZA SHULE.
Katika jiji la Dar es salaam kulikuwa na shule
nyingi sana na nzuri lakini kutokana na utajiri wa familia yao, Rachael
alipelekwa Nairobi kuanza shule ya awali iitwayo JUNIOUR INTERNATIONAL SCHOOL
ni tawi la shule kubwa na maarufu iliyopo katika jiji la New York nchini
Marekani inasifika sana kwa kukuza vipaji vya watoto wadogo.
Basi safari ya
maisha ya kimasomo ya Rachael yanaanzia hapa, mtoto huyu mrembo wa sura na umbo
anasoma hapo kwa mda wa miaka miwili kabla ya kujiunga na shule ya msingi hapo
hapo katika shule hiyo. Anaendelea na masomo mpaka anapofikisha umri wa miaka
kumi na mbili ndipo hapo shughuli na kasheshe za binti huyo zinapoanza.
Ni
kipindi hicho ambacho alianza kujishughulisha na uhusiano wa kimapenzi, huwezi
amini kwa umri wake huo mdogo alishabalehe na alikuwa na mvuto wa ajabu. Sijui
ni kwa sababu ya mazingira mazuri na aina ya vyakula alivyokua akila au ni kile
kitu alichokitabiri marehemu babu yake enzi ya uhai wake.
Lakini kutokana na
tabia yake hiyo ya kuwalazimisha watoto wenzake wacheze michezo ya kiutu uzima
ilimpelekea kushuka kwa maendeleo yake darasani na kushindwa kufikisha wastani
wa kumwezesha kuendelea na masoma hivyo alitakiwa kurudia mwaka. Kwa kiburi cha
fedha alichokuwanacho baba yake ilbididi Rachael aache shule na kurudi
Tanzania.
Mama yake na Baba yake walijipanga upya na kuamua kumpeleka katika
shule moja hapa jijini zamani kama GREENBIRD SECONDARY SCHOOL huko anapata
rafiki mpya siku ya kwanza tu alipoingia darasani na hii ni kutokana na mvuto
mzuri aliokuwa nao.
Emmanuel Nyange wenyewe walimwita mtoto wa askofu kutokana
na uhodari wake katika mambo ya kimungu, upole na heshima alizokuwa nazo
miongoni mwa jamii ndiye rafiki mpya wa Rachael kwani walikuwa wakikaa meza
moja.
Emmanuel alitokewa kuvutiwa sana na mgeni huyu lakini kutokana na maadili mema aliyokuwa
nayo alimchukulia kama rafiki wa kawaida kwa maneno mengine alikuwa na upendo
wa agape.
Lakini kwa upande wa mtoto wa kike ilikuwa tofauti kabisa na kila
siku alitamani kumwambia ukweli lakini alishindwa, miezi michache baadae binti
wa watu uvumilivu ulimshinda na kuamua kuvunja ukimya, watoto wa mjini
wanasemaga kama mbwai na iwe mbwai. Rachael ikabidi aanze kumwaga mchele kwenye
kuku mmoja bila mafanikio. Kila siku iendayayo kwa mungu alijitahidi kufikisha
hisia zake kwa njia ya kumtega mwezie tena kwa mitego ya kitoto.
Emmaanuel
ambaye kwa sasa na yeye alikuwa tayari ameshabalehe alijitahidi kujizuia sana
na kutanguliza masomo mbele huku akiamini kuwa mapenzi yangeweza kumfanyanya
hashindwe kufaulu kwa kiwango cha juu. Familia za pande zote mbili zilijua
urafiki wa watoto wao hivyo basi ziliungana na kushirikiana katika mambo
mengine ya kimaisha.
Ilikuwa siku ya jumapili mishale ya saa nane
mchana Rachael alipompigia simu Emmanuel na kumwambia kwamba anamwomba waende
kumwangalia rafiki yake kwani ni mgonjwa hivyo anaogopa kwenda mwenyewe. Cha
ajabu na kufurahisha Rachael alimwagiza mfanyakazi wao wa ndani kuwa pindi
Emmanuel atakapofika amwambie aingie moja kwa moja kwenye chumba chake eti kwa sababu anayeumwa
ni yeye na sio rafiki yake.
Kutokana na heshima waliojijengea wafanyakazi wa
pale ilimbidi atii amri bila kuuliza maswali yoyote. Rachael alijipanga
kuakikisha lazima afanye mapenzi na Emmanuel, kwanza alivaa mavazi ambayo kwa
mwanaume yeyote ni mtihani, kivazi hicho kifupi kilikuwa transparent
inayoonesha kila aina ya kiungo cha mwanamke unachokijua.
Ama kweli wembamba wa
reli treni inapita, mtoto mdogo kama huyu tayari alikuwa na uchu wa kuvunja
amri ngumu ya sita. Kuna harufu fulani ya pafyumu aina ya sex lady ndio ilikuwa
imetawala mavazi hayo ya kimtego, siku hiyo humo chumbani kulikuwa na vitu
vingi sana kama vile choculate, pipi za vijiti(lolpop), juisi ya nyanya na
vingine vingi.
Vitu hivi vyote viliandaliwa kwa ajili ya shughuli moja tu ya
kumkomvisi Emmmanuel kufanya nae mapenzi pia na kwa kummaliza kabisa kwa aliandaa
mikanda ya xxxxxxxxxxx kwa wale wasioijua xxxxxxxx ni kitu kilichokatazwa na
ndio maana zile nyumba zilzojengwa pembezoni mwa barabara zinawekwa xxxxxxxx.
watoto
wa mtaani mara nyingi wana majina mengi sana ya mikanda hiyo enzi zetu tuliita
pilau basi Rachael alikuwa nayo sijui aliipata wapi lakini alikuwa nao wenye
lebo ya blue six in one vitu vilivyomo humo naogopa kuvielezea. Basi Emmanuel
wa watu alipofika alipokelewa na mfanyakazi wa ndani na aliambiwa apitilize
moja kwa moja chumbani kwa Rachael kwani ndiye alikuwa akiumwa.
Alishangaa
lakini aliamua kutii maelekezo na pia alipokuwa anasalimiana na yule mfanyakazi
wa ndani aligundua kuwa wazazi wa Rachael hawakuwepo na walikuwa wameenda
Arusha kwenye harusi ya binti wa rafiki yao mpendwa. Basi alipiga hodi na
kuambiwa wewe ingia tu unamwogopa nani?
Kusikia hivyo mzee mzima akazama ndani,
kidogo azimie hakuwai kuona vitu kama vile akajikuta anaropoka kumbe Rachael
ndo mzuri hivyo, nilikuwa sijui, lakini unaumwa nini mpaka uvae hivyo jamaani.?
Kabla hajamaliza akavutwa kwa ndani na mlango ukafungwa, kwa sauti nyororo na
ya mlegezo akajibiwa.......................ITAENDELEA
0 comments:
Chapisha Maoni