SIMULIZI: MY DIARY(KITABU CHA KUMBUKUMBU ZANGU)
SEHEMU YA 1
MTUNZI:ELIAS ADOLF(eliado)
FB PAGE: Eliado Love Stories
ANGALIZO: ISOMWE NA WATU WENYE UMRI KUANZIA MIAKA 18+

Nilikuwa juu ya jukwaaa nikifanya vitu vyangu ili hali nikijua kabisa
watu wote waliokuwa wakinitizama walikuwa wanaumia roho kutokana na
mvuto wa umbo langu niliokuwa nao. Nilisikia mijibaba miwili ikiulizana
hivi lile wowoo ni la kwake au ni la mchina? Mmoja wao akaropoka “wee
kitu original hicho, kwani umemsaahau huyu binti tulishakutana nae kule
Arusha mpaka tukambatiza jina la soda kubwa tena ya fanta yaani
BAMBUCHA.?” Yeah nimekumbuka alidakia mwanaume wa tatu waliokuwa nao.
Akaongeza basi huyu tusimwite tena BAMBUCHA bali tumpe jina la bia kwani inaonesha thamani yake ni kubwa zaidi. Basi wote kwa pamoja wakacheka. Wakati nikiendelea kutingisha makalio yangu ambayo kiukweli yalikuwa yakitetemeka kama mawimbi ya bahari, Yule aliyetoa hoja akapendekeza jina linalofanana na bia eti kutokana na uzuri niliokuwa nao aliniita HAINKEN WOWOWO.
Ilinibidi nicheke kwa nguvu kitu ambacho kiliwashitua mashabiki wangu waliokuwa wakinifuatilia, hawakujua nilikuwa nikicheka nini wakajua labda nilifurahishwa na ule wimbo wa kanga ndembendembe laki si pesa. Wakati nikiendelea kuzungusha nyonga yangu kwa ufundi wa ajabu niliokuwa nao niliendelea kufuatilia mazunguzo ya wale watu waliokuwa wamekaa meza ya karibu na jukwaa. Niliendelea kuzungusha nyonga na kwa wale ambao ndo ilikuwa ni mara yao ya kwanza kuniona walishangaa sana.
Lakini kwa wale ambao walishaniona kwenye shindano la miss nyonga kule Arusha wasingeshangaa sana kwani kile ndo kipaji nilichojaliwa na mwenyezi Mungu.Nilizungusha kisawa sawa huku nikirembua macho yangu kitu ambacho siku zote kilikuwa nikiwaumiza wanaume wenye tamaa. Kwa ufundi wa ajabu nilio kuwa nao niliendelea kufuatilia wimbo niliowekewa huku nikilitegeza sikio langu moja kwenye ile meza iliyokuwa karibu yangu. Wale wanaume waliendelea kunitumbulia macho huku wakiendelea kubishana juu ya jina gani wangenibatiza kulingana na uzuri wangu.
Nilibahatika kumsikia mmoja akimwita muhudumu kwa fujo na kumwambia “inaelekea wewe hujui majukumu yako, mbona bia imeisha na umekaa mbali? Dada kwa heshima kubwa na kutambua kuwa walikuwa wameanza kulewa alimjibu kwa kumbaia samahani kaka” Sitaki samhani yako niletee bia inayofanana na huyo dada kwenye jukwaa. Yule muhudumu alibaki ameduwaa asijue nini cha kufanya. Akauliza jamani kaka mbona sikuelewi nikuletee kinywaji gani? Kaka kwa ukali akamwambia kinachofanana na huyo dada.
Muhudumu akaenda kaunta na alipokuja alikuja na soda kubwa iliyojazia yaani BAMBUCHA. Watu wote kwenye meza yao walishangaa yaani mtu alikuwa anakunywa bia na sasa ameletewa Bambucha. Ili bidi wapigwe na butwaa, yule jamaa akamuuliza yule muhudumu kwanini umeleta hii soda? Muhudumu kwa kujiamini alisema ‘Ni kwa sababu huyo dada anaitwa BAMBUCHA.Basi watu wote pale mezani waliangua kicheko.
Basi kwa kuwa kila mtu alipewa nyimbo tatu kuonesha maujuzi ya kuzungusha nyonga na kuchezesha makalio, hivyo mimi niliwekewa wimbo wangu wa mwisho. Huku nikibadilisha staili na kucheza ile matata ya kulala chini kisha kuzungusha kama vile upo juu ya mwanaume. Nilimsikia yule mteja akimwambia muhudumu niletee HAINKEN WOWOWO na wakati Yule dada akitafakari Heinken wowowo ni ipi, kwa macho yangu ya wizi nilimwona yule kaka akifungua pochi yake na kutoa hela na kila kwenye noti ya elfu kumi alikuwa akiandika kitu.
Sikujua alikuwa akiaandika nini nitakwambia nikishuka jukwaani. Basi nikaamua kuendelea kufanya yangu na nilikuwa namalizia na ile staili ya mdembwedo. Hii staili ni mbaya sana kwani unakuwa kama unajizalilisha, hapa wapambe wangu walinimwagia maji kwenye makalio hivyo kuwa ndembendembe. Nilitumia vizuri vidole vyangu kuviingiza sehemu ambazo kwa kweli naogopa kusema. Yule kaka akashindwa kuvumilia akanifuta na kunimwagia zile noti za elfu kumi kumi.
Sikujua alinipa shiling ngapi kwa kuwa haikuwa kazi yangu kuokota hela ila kwa utundu wangu niliivuta moja kwa kutumia vidole vya miguu yangu. Nilifanya hivyo kwa sababu mara nyingine huwa tunazulumiwa na pia nilitaka kujua yule kaka aliandika nini kwenye zile hela. Wakati nashuka ili kuruhusu mshiriki mwingine apande na kuendelea na vitu vyake, nilimsikia tena yule kaka akibishana na yule muhudumu “nimekwambia Heinken wowoo sio Mutungi.
Hapo nikajua yule kaka atakuwa amekaa sana nje ya nchi maaana zile bia watanzania wengi hawazinywi kwa kuhofia bei. Basi muhudumu alimwita meneja wa bar kwani ilionekana walikuwa hawaelewani. Basi meneja aliweza kumwelewa na kumpa bia iliyofanana na mimi.
Baadaye nilipewa zile hela zangu japo nilihisi wamenichakachua.Kumbe kwenye zile noti aliandika namba zake na mara baada ya shindano kuisha na mimi kutangazwa mshindi niliamua kumtafuta yule kaka. Aliongea mengi ila kubwa na la muhimu kwake eti alitangaza nia ya kunioa. Nilishangaa sana itawezekanaje umwone msichana siku moja umpende na utake kumwoa. Kwa kweli haikuniingia akilini na pia nilimwonea huruma sana kwa kuwa hakujua historia yangu.
Baadaye tulielewana na kwenda kuchukua chumba na kulala. Ingawa alinilipa hela yangu lakini hakutka tufanye mapenzi kitu ambacho sikuamini maishani mwangu kuwa mwanaume anaweza kulala na mwanamke mzuri kama mimi na hasifanye kitu chochote. Ilibidi niwe mkali lakini aliniambia anilipe mara mbili ili niwe nae kwani alikuwa anataka kujua hisoria yangu ya maisha.

Nikahisi labla alikuwa
akifanya utafiti, basi nilimwambia historia yangu ni ndefu sana ingawa
nimeeiandika kwenye diary yangu kwa leo siwezi kukupata hata robo labda
kama tusilale.. Yule kaka aliendelea kunishangaaa. Nikamwambia atoe
historia yake alafu ya kwangu nitamtafuta yule mwandishi mashuhuri
Eliado aiandike kwenye kitabu.
Basi ingawa nilkuwa namjua kuwa ni star wa bongo movies, nilijifanya sijui chochote. Alieleza stori ndefu sana ya maisha yake hasa upande wa mahusiano na mafanikio yake. Nilimsikiliza sana na kwa kweli nilitokewa kuvutiwa nae japo kiukweli sikuwahi kufikiria kuwa nitakuja kuolewa maishani mangu hivyo ombi lake la kutaka kunioa liliniumiza sana hasa kutokana na ugumu wa historai yangu.
Baadaye alinimba niombe kushiriki shindano la big brother Africa na akasema kutokana na umaarufu wake atanipigania nipate nafasi hiyo. Nilifurahi sana maana siku zote niliamini nitakuja kuwa super star mkubwa sana wa nchi hii.Alisistiza kwamba pamoja na mambo mengine uzuri wangu ni kigezo tosha cha kucheza filamu hivyo ataniingiza kwenye filamu mpya ambayo ingetoka mwezi ujao.
Watanzania hawakuamini kuwa naweza kuwawakilisha vyema kwenye shindano la big brother Africa mpaka pale nilipotangazwa mshindi. Vyombo vya habari vya Tanzania na Afrika kwa ujumla vinmenizunguka wakitaka kujua historia yangu, napatwa na kigugumizi kwa kuwa historia yangu ni ngumu sana. Wazo la haraka ni kumpigia Elias Adolf maarufu kama eliado mwandishi mashuhuri aje kunisaidia maana mara ya mwisho alinambia ataniandalia kitabu cha kumbukumbu za maisha yangu****************************************
Nilikuwa hata sijajitambulisha kwani nilitaka mjue asili ya majina yangu maana kiukweli nilikuwa na majina mengi kabla na baada ya kuwa superstar. Ila nitatumia jina langu la asili nililopewa na wazazi wangu. Nilipozaliwa tu wazazi wangu waliniita Leah. Ni mtoto wa kimbulu niliyechanganya damu na mama wa kiharabu.Nina historia ndefu sana ambayo kiukweli inahuzunisha sana.

Lakini kwa kuwa dunia mapito nitaeleza kwa kifupi
hasa upande wa mahusianao na mapenzi. Mimi ni mtoto wa pekee wa kike
katika familia ya mzee Bura mzee ambaye alikuwa ni maarufu na tajiri
mkubwa pale jijini Arusha.
Ingawa nina mapungufu yangu ya kimaisha lakini kiukweli nimejaliwa uzuri ambao kwa namna moja au nyingine ndo chanzo cha kuharibikiwa na kisha kufanikiwa katika maisha yangu.Ni mweupe kiasi, mwenye umbo la kibantu na nyuma nimefungashia kama mlima kitonga. Nina sura ya mduara kama watoto wa kiharabu ambapo kwa haraka haraka ukikutana na mimi huwezi amini kuwa ni mtanzania tena wa Arusha.

Mungu kanijalia umbo,sura, mwendo, macho na kila
kiungo unachojua wewe kinaweza mvutia mwnaume.Ni mnene lakini si ule wa
kuboa ni ule wa mpangilio na kwa kweli sina matiti makubwa. Nina macho
ya mlegezo ambapo kiukweli nikikuangalia mara mbili ni lazima tu
utanitamani. Kasoro yangu kubwa au kilema mungu alichonipa
ni..................ITAENDELEA KESSHO.
0 comments:
Chapisha Maoni